Loading...

Jezi za mataifa yote 32 yatakayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia 2018 Urusi


Mataifa yote 32 ambayo yanashiriki Kombe la Dunia mwaka huu yametoa jezi zao.

Hapa chini ni jezi za nyumbani ambazo wachezaji wa kila taifa watavalia uwanjani.

Jezi za Nigeria zilipoanza kuuzwa, zilinunuliwa zote siku ya kwanza. Watu milioni tatu walikuwa wameziagiza jezi hizo hata kabla zianze kuuzwa.

Kundi A
Urusi


Saudi Arabia


Misri


Uruguay



Kundi B

Ureno



Uhispania



Morocco


Iran


Kundi C

Ufaransa



Australia

Peru


Denmark


Kundi D
Argentina


Iceland


Croatia


Nigeria


Kundi E

Brazil


Uswizi

Costa Rica


Serbia


Kundi F

Ujerumani



Mexico


Sweden


Korea Kusini

Kundi G

Ubelgiji


Panama

Tunisia


Uingereza


Kundi H

Poland


Senegal


Colombia


Japan


Picha zote na Simon Hofmann kwa niaba ya Fifa
Jezi za mataifa yote 32 yatakayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia 2018 Urusi Jezi za mataifa yote 32 yatakayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia 2018 Urusi Reviewed by Zero Degree on 6/08/2018 08:20:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.