Loading...

Video: Wimbo mpya wa Kassim Mganga ‘InBOBO’ akiwashirikisha Nandy na Fid Q


Msanii wa Bongo Flava, Kassim Mganga ameachia video ya ngoma yake mpya ‘InBOBO’, akiwa amemshirikisha Nandy na Fid Q.

Video hiyo mpya ya Kassim Mganga ikiwa imeongozwa na Director IVAN huku mziki ukitengezwa na ALONEYM.

Kuitazama video hiyo bodya hapa chini:

Video: Wimbo mpya wa Kassim Mganga ‘InBOBO’ akiwashirikisha Nandy na Fid Q Video: Wimbo mpya wa Kassim Mganga ‘InBOBO’ akiwashirikisha Nandy na Fid Q Reviewed by Zero Degree on 11/14/2018 07:35:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.