Benki yamchukulia hatua aliyefunga mbuzi kwenye tairi
Benki ya TIB imetoa taarifa ya kusikitishwa kwake na kitendo cha dereva wa gari inayomilikiwa na benki hiyo yenye namba za usajili SU 38431 cha kubeba mbuzi kwenye tairi ya akiba iliyopo nyuma ya gari.
Benki yamchukulia hatua aliyefunga mbuzi kwenye tairi
Reviewed by Zero Degree
on
12/15/2018 08:35:00 AM
Rating: