Faida za kula ukiwa peke yako
Baadhi ya watu hawapendelei kula peke yao huku wengine wakihofia huenda wakijihisi upweke kiasi cha kupoteza hamu ya kula chakula.
Lakini je unafahamu kuwa:
- Nyumba zinazoishi mtu mmoja zinaendelea kuongezeka duniani: Watu milioni 300 sasa wanaishi peke yao kuote duniani (kwa mujibu wa data kutoka UN, OECD na Eurostat).
- Hata kama unaishi na watu wengine, inakadiriwa kuwa karibu nusu ya watu wazima hujipata wakila chakula peke yao.
Kwa sababu hali hii huenda isibadilike maishani, kuna haja ya kuikubali.
Sababu nane kwanini huenda ni jambo jema kula peke yako:
1. Unaweza kula popote unapotaka
1. Unaweza kula popote unapotaka
Kula peke yako hukufanya kujisikia huru kula chochote unachotaka bila kuwa na hofu ya watu wengine wanataka kula nini na pia unaweza kulia chakula chako ukiwa mahali popote kama vile kitandani au sehemu ya kupumzika nje ya nyumba.
Pengine wewe hupendelea viungo tofauti ambayo huenda ikawakwaza watu wengine, kwa mfano samaki wa kusindikwa ana harufu kali japo ni mlo maarufu nchini Uswidi.
Au pengine wewe unapendelea vyakula vya wanga na pia huoni tatizo kula viazi vingi vilivyochanganywa na pasta.
Bila shaka kama hakuna mtu wa kukuchagulia kile utakachokula utakuwa huru kuamua chochote utakacho bila hofu.
Uzuri wake ni nini? Unaweza kuwa mbunifu kwa kuchanganya vyakula tofauti bila kumkwaza mtu mwingine endapo mchanganyiko huo utakuwa na muonekano mbaya.
2. Huna haja ya kuomba chakula cha mwenzako
Ushawahi kujikuta umeagiza chakula kitamu ambacho huenda umekitamani kwa miezi kadhaa ukapata rafiki zako wote wanataka kukionja mpaka unaishia kula kijiko kimoja?
Huenda ni vyema kula na wenzako lakini watu wengine hawapendelei kwa mfano kupoteza 20% mnofu samaki ili kuonje kijiko kimoja cha umma cha pie ya samaki.
Kula peke yako wakati mwingine hukupatia utulivu, na wakati mwingine mfanya mlaji kula chakula chote bila kupeana.
3. Humsaidia mtu kuzingatia lishe bora

Ikiwa unajaribu kufuata utaratibu fulani walishe bora, kula peke yako hukusaidia kuzingatia utaratibu huo.
Utafiti uliyowasilishwa kwa chama cha masuala ya moyo cha Marekani unaashiria kuwa 60% ya watu wanaojaribu kula lishe bora hubadili mkondo huo wanapojumuika na kula na watu wengine.
Utafiti mwingine uliyofanywa na wanafisiolojia wa chuo kikuu cha jimbo la Georgia umeonesha kuwa kula pamoja kwa vikundi huchangia watu kula 44% zaidi, ikiwa ni pamoja na kula kiwango cha juu cha vyakula vilivyo na mafuta mengi.
4. Unaweza kula kwa nafasi yako

Utafiti unaashiria kuwa mwenendo wa mtu wa kula chakula hutegemea na watu anaotangamana nao.
Kwa kula peke yako, huenda ukajiamulia ni wakati gani wa kula na kiasi ya chakula unachotaka kwa wakati huo.
Kuwa muangalifu kula chakula huku ukiwa unatazama televisheni- filamu za kusisimua humteka mtu mafikira hali ambayo imetajwa kuwafanya watu kula chakula kingi zaidi.
5. Inakupatia nafasi ya kuangazia ladha ya chakula

Kula peke yako hukusaidia kuangazia kwa makini kile unachokula.
Hii inamaanisha kuwa unaweza kuchukua muda wako kufurahia ladha ya chakula badala ya kumsikiliza Tara kwa mfano akizungumzia gari lake jipya.
6. Unaweza kula katika madhari ya kupendeza huku ukifurahia mazingira yako

Huenda ukachukua muda kuzoea kula peke yako, lakini ukizingatia mambo yanayofanyika katika ulimwengu wa sasa huenda ni wazo zuri kula kimya subuleni mwako ukifurahia filamu upendayo.
Migahawa yenye shughuli nyingi wakati mwingine huwafanya watu kupoteza muda kutafuta mahali pa kukaa huku wengine wakiamua kukaa karibu na kaunta na kuacha viti visivyo na watu.
Ikiwa unahofia huenda ukaonekana mpweke usijali: visa vya watu kula peke yao vimeongezeka kila pembe duniani - kwa mfano: 87% ya waingereza wanasema kuwa wanafurahia kula peke yao.
Mwaka 2015 utafiti uliyofanywa na OpenTable - huduma ya kimataifa ya mgahawa mtandaoni ulibaini kuwa watu wengi zaidi wamekuwa wakiagiza huduma ya kibinafsi badala ya pamoja katika kipindi cha miaka miwili, kwa hivyo huenda akajipata si wewe peke yako unafurahia kula mwenyewe.
7. Hutalazimika kuwasikiliza watu wengine wakitafuna chakula

Ikiwa hupendi kusikia sauti ya watu wakitafuna chakula sasa una nafasi ya kulapeke yako kwa amani.
Hali ya kusumbuliwa na sauti ya mtu akitafuna chakula hujulikana kama misophonia -kunawatu hawapendi kabisakusikia sauti ya mtu akitafuna chakula.
Haijabainika hali hiyo ni mbaya kiasi gani na endapo inaweza kutibiwa
8. Unaweza kula wakati wowote popote unapotaka

Ukiwa peke yako unaweza kula wakati wowote wa siku kuanzia alfajiri, hali ambayo inakupatia uhuru wa kuamua kile unachopenda.
Hata hivyo wataalamu wa masuala ya lishe wanashauri ujiepushe na kula vyakula vilivyo viongo vikali nyakati za asubuhi kwani huenda ukasalia na harufu ya vyakula hivyo siku nzima.
Bila shaka hungependelea kuingia mkutano wa kazini asubuhi ya Jumatatu ukinukia kitungu saumu.

Chanzo: BBC
Faida za kula ukiwa peke yako
Reviewed by Zero Degree
on
12/12/2018 12:05:00 PM
Rating: