Taji la Miss World laenda Mexico
Hapo awali taji hilo lilikuwa linashikiliwa na mrembo kutoka India, Manushi Chhillar’s.
Akiongea muda mchache baada ya taji hilo, alisema anashukuru kuwa mwakilishi wa warembo wote walioshiriki kwa kuwa kila mmoja alistahili ushindi huyo
“Siweyi kuamini, siwezi kuamini kabisa… Na nafikiri wasichana wote walistahili ushindi. Najisikia faraja kuwawakilisha. Nitafanya kila niwezalo katika muda nilionao. Nawashukuru wote,” alisema Vanessa baada ya kutwaa taji hilo nchini China.
Hatika hatua nyingine Miss Uganda, yatamba na kuibuka Miss World Africa baada ya kuingia top 5 ya Miss World.
Orodha ya washindi 5 bora:
- Mexico – Americas
- Thailand – Asia/Occenia
- Uganda – Africa
- Jamaica – Caribbean
- Belarus – Europrle
Taji la Miss World laenda Mexico
Reviewed by Zero Degree
on
12/09/2018 07:20:00 AM
Rating: