Video: Darassa - Achia Njia (Official Music Video)
Baada kimya kirefu cha Darassa leo Ijumaa ya Disemba 14 ameachia nyimbo mbili ikiwemo, ‘Tofauti na Achia Njia’.
Sasa ameileta video ya wimbo wake mpya ‘Achia Njia‘.
Video imeongozwa na Justin Campos, audio imefanywa na ma producer wawili akiwemo MrVs na Abbah Process.
Kuitazama video hiyo bofya hapa chini:
Kuitazama video hiyo bofya hapa chini:
Video: Darassa - Achia Njia (Official Music Video)
Reviewed by Zero Degree
on
12/14/2018 11:06:00 AM
Rating: