Video: Wimbo mpya wa Harmonize akimshirikisha Rayvanny - Paranawe
Paranawe ni wimbo (Soundtrack) inayopatikana kwenye filamu ya Only The Strongya Mark Alan Dacascos (Mark Dacascos) iliyotoka mwaka 1993.
Video imetengenezwa na Zoom Production na audio imefanywa na Lizer Toka Wasafi Records.
Kuitazama bofya hapo chini:
Kuitazama bofya hapo chini:
Video: Wimbo mpya wa Harmonize akimshirikisha Rayvanny - Paranawe
Reviewed by Zero Degree
on
12/11/2018 12:13:00 PM
Rating: