Loading...

Hatimaye Basata yawafungulia rasmi Diamond, Rayvanny


Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa Januari 22, 2019 kuwafungulia wasanii Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvan’ na Tamasha la Wasafi baada ya kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana kutokana na sababu za kimaadili.


Hatimaye Basata yawafungulia rasmi Diamond, Rayvanny Hatimaye Basata yawafungulia rasmi Diamond, Rayvanny Reviewed by Zero Degree on 1/23/2019 08:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.