Loading...

Mtanzania Shaban Chilunda shavu kwenye klabu nyingine ya Hispania


Nyota wa Tanzania, Shaban IDD Chilunda hapo jana alitambulishwa rasimi kuwa mchezaji wa klabu ya CD Izarra inyoshiriki ligi daraja la pili nchini Hispania.

Chilunda amejiunga na klabu hiyo ya CD Izarra akitokea timu ya CD Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza ya nchini humo kwa usajili wa mkopo.

Chilunda ambaye alitokea Azam FC ya jijini Dar es Salaam alijiunga na CD Tenerife kwa msimu wa mwaka 2018/19.
Mtanzania Shaban Chilunda shavu kwenye klabu nyingine ya Hispania Mtanzania Shaban Chilunda shavu kwenye klabu nyingine ya Hispania Reviewed by Zero Degree on 1/23/2019 12:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.