Loading...

Nyumba ya mapadre yateketea kwa moto


Nyumba ya Mapadre wa Kanisa Katoliki katika Seminari Kuu ya Segerea inadaiwa kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Endelea kufuatilia ukurasa huu muda wote kwa taarifa zaidi kuhusu chanzo cha moto huo na athari zake.
Nyumba ya mapadre yateketea kwa moto Nyumba ya mapadre yateketea kwa moto Reviewed by Zero Degree on 1/17/2019 09:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.