Loading...

Rais Magufuli afanya uteuzi wa majaji na wakuu wa wilaya


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Januari, 2019 amefanya uteuzi wa Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani, Majaji 15 wa Mahakama Kuu, Wakuu wa Wilaya 2 na Wakurugenzi wa Halimashauri za Wilaya hapa nchini.



Rais Magufuli afanya uteuzi wa majaji na wakuu wa wilaya Rais Magufuli afanya uteuzi wa majaji na wakuu wa wilaya Reviewed by Zero Degree on 1/27/2019 05:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.