Msanii mkongwe Tanzania, AY akiwa amemshirikisha mwanadada Victoria Kiman kutoka Kenya kwenye video ya wimbo wake mpya, ‘Loving You’. Video imeongozwa na Msafiri toka Kwetu Studio.