JK ampa tano Lowassa kurejea CCM
Lowassa alijiunga CHADEMA Julai 2015 baada ya jina lake kuenguliwa kwenye mchakato wa kutafuta mgombea wa urais ndani ya CCM.
“Karibu tena nyumbani, Hongera kwa uamuzi wa busara,” ameandika Dkt. Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter.
Lowassa alitangaza hapo jana kurejea CCM katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Lumumba Dar es Salaam na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais John Magufuli.
Lowassa alitangaza hapo jana kurejea CCM katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Lumumba Dar es Salaam na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais John Magufuli.
JK ampa tano Lowassa kurejea CCM
Reviewed by Zero Degree
on
3/02/2019 02:35:00 PM
Rating: