Tetesi za soka barani Ulaya leo Ijumaa Machi 1, 2019
Liverpool imetuma maafisa wake Uturuki kwenda kumchunguza mchezaji mwenye umri wa miaka 19 anayeichezea kiungo cha kati Trabzonspor - Abdulkadir Omur.
United imemtambua beki wa Crystal Palace Aaron Wan-Bissaka, mwenye umri wa miaka 21, mlinzi wa Napoli Kalidou Koulibaly, mwenye umri wa miaka 27, na mchezaji wa kiungo cha kati wa Barcelona Ivan Rakitic, aliye na umri wa miaka 30, kama wachezaji wakuu inayowalenga katika msimu wa joto (Talksport)
Watafanya uamuzi katika mwezi ujao iwapo kuanzisha majadiliano kuhusu kuongezwa muda wa mkataba wa kapteni Antonio Valencia. Mchezaji huyo raia wa Ecuador mwenye umri wa miaka 33 hajawahi kucheza tangu Januari 2. (Manchester Evening News)

Wachezaji wa West Brom watalipwa nyongeza ya thamani ya £10m iwapo watapandishwa daraja na kufuzu katika Premier League msimu huu.
United ipo katika hatari ya kumpoteza kipa wa Uhispania David de Gea, mwenye umri wa miaka 28, hadi iwapo wataamua kumfanya mchezaji anayelipwa fedha kubwa katika klabu hiyo pamoja na mchezaji wa kiungo cha mbele kutoka Chile Alexis Sanchez, mwenye miaka 30. (Telegraph)
Eden Hazard, 28 |
Chelsea imefungua upya mazungumzo na mshambuliaji wa Ubelgiji Eden Hazard, mwenye umri wa miaka 28, huku Real Madrid ikiwa bado ina hamu ya kumsajili mchezaji huyo. (Le10 Sport)
Roma ipo radhi kumuuza winga raia wa Uturuki Cengiz Under katika jitahada za kupata fedha. Mchezaji huyo mwenye miaka 21analengwa na Arsenal. (Corriere dello Sport)
Winga wa Uingereza Raheem Sterling, mwenye umri wa miaka 24, anasema amejihisi kuwa katika shinikizo zaidi kushinda ligi kuu Uingereza katika iliyokuwa klabu yake Liverpool kuliko katika timu aliopo Manchester City. (Sky Sports)
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Lazio na Serbia Sergej Milinkovic-Savic, mwenye umri wa miaka 24, huenda akasalia Italia na akaelekea AC Milan au Inter Milan, licha ya tuhuma za Manchester United na Real Madrid kuvutiwa naye. (Goal)

Meneja wa Bristol City Lee Johnson na Bosi wa Kilmarnock, Steve Clarke ni wanaopigiwa upatu kwa kazi ya kudumu ya ukufunzi huko Fulham baada ya kutimuliwa Claudio Ranieri. (Mirror)
Mchezaji wa Tottenham na Korea kusini Son Heung-Min, mwenye umri wa miaka 26, hametajwa kama mchezaji bora katika ligi kuu ya Uingereza mwaka huu katika tuzo ya soka London huku mchezaji wa West Ham akishinda tuzo ya mchezaji kijana bora. (Standard)
Timu katika League Two - Crawley imo katika hatua ya mwisho ya kununuliwa kwa thamani ya £7m na kampuni ya biashara huko Singapore.
Uwanja wa Nou Camp wa Barcelona utakuwa wa kwanza wa soka Ulaya unaosambaza intaneti ya 5G. (Mail)
Sir Kenny Dalglish anatarajiwa kurudi Anfield - kama meneja wa timu ya mashujaa Liverpool katika mechi dhidi ya wenzao AC Milan Machi. (Liverpool Echo)
Chanzo: BBC
Tetesi za soka barani Ulaya leo Ijumaa Machi 1, 2019
Reviewed by Zero Degree
on
3/01/2019 08:05:00 AM
Rating: