Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumatano Septemba 18, 2019
Winga wa Barcelona mwenye umri wa miaka 16 wa timu ya taifa ya Guinea-Bissau, Ansu Fati anakaribia kukamilisha makubaliano ya mkataba mpya wa miaka mitano baada ya kufunga mabao mawili katika mechi tatu alizoshiriki kwenye ligi ya Uhispania La Liga. (AS)
Manchester United inajitayarisha kumnyatia mshambuliaji wa Bournemouth mwenye umri wa miaka 27 Callum Wilson, aliyefunga mabao matatu katika mechi mbili zilizopita.
Mchezaji wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 27 anayeichezea timu ya taifa ya Uhispania Isco, na anayezivutia Manchester City na Liverpool, anasakwa na Juventus, ambayo inatayarisha kitita cha £66m kuwasilisha ombi la mshambuliaji huyo wa zamani wa Malaga. (Sun)
Real Madrid, Barcelona na Liverpool wanataka kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Napoli Fabian Ruiz, mwenye umri wa miaka 23. (Mail)
Manchester United imeulizia kuhusu kumsajili winga wa Borussia Dortmund mwenye umri wa miaka 19 mchezaji wa timu ya taifa ya England Jadon Sancho wakati wa majira ya joto (Sport Football)
Aliyekuwa mlinzi wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Patrice Evra, mwenye umri wa miaka 38, anasema wachezaji waliopo sasa wa juu Old Trafford wanahitaji kujitolea pakubwa kwa klabu hiyo kabla ya kukubalika na mashabiki. (Sky Sports)
Mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya taifa ya Brazil Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27, anasema Bayern Munich - ambako anacheza kwa mkopo kutoka Barcelona - ni 'kama familia' kuliko Barca nailiyokuwa klabu yake Liverpool. (Liverpool Echo)
Aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England Wayne Rooney, aliye na miaka 33 - na sasa anayeichezea timu ya DC United - anasema wachezaji wa MLS wanastahili kulipwa zaidi. (ESPN)
Mkurugenzi wa michezo wa Norwich City Stuart Webber amekubali mkataba mpya wa miaka mitatu. (Telegraph)
Real Madrid, Barcelona na Liverpool wanataka kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Napoli Fabian Ruiz, mwenye umri wa miaka 23. (Mail)
Manchester United imeulizia kuhusu kumsajili winga wa Borussia Dortmund mwenye umri wa miaka 19 mchezaji wa timu ya taifa ya England Jadon Sancho wakati wa majira ya joto (Sport Football)
Aliyekuwa mlinzi wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Patrice Evra, mwenye umri wa miaka 38, anasema wachezaji waliopo sasa wa juu Old Trafford wanahitaji kujitolea pakubwa kwa klabu hiyo kabla ya kukubalika na mashabiki. (Sky Sports)
Kipa wa Tottenham na timu ya tifa ya Ufaransa Hugo Lloris, mwenye umri wa miaka 32, anasema huenda akastaafu katika klabu hiyo na ana hamu ya kucheza katika soka ya ligi kuu kabla ya kustaafu. (France Football)
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anakosa kuwasajili wachezaji wakubwa aliowalenga kwasbabu anakataa kulipa kiwango ambacho hudhaniwa huenda kikwavutia wanunuzi. (Guardian)
Winga wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Wales Daniel James, aliye na miaka 21, anasema nusra aachane na soka kabisa wakati akiwa na miaka 12. (Inside United)
Mzozo kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa mwenye miaka 28 - Antoine Griezmann wenye thamani ya £107 kutoka Atletico Madrid kwenda Barcelona huenda ukachangia klabu hiyo ya Catalan kuishia kucheza mechi kwa faragha pasi kuwa na mashabiki. (Goal.com)

Philippe Coutinho |
Aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England Wayne Rooney, aliye na miaka 33 - na sasa anayeichezea timu ya DC United - anasema wachezaji wa MLS wanastahili kulipwa zaidi. (ESPN)
Mkurugenzi wa michezo wa Norwich City Stuart Webber amekubali mkataba mpya wa miaka mitatu. (Telegraph)
Chanzo: BBC
Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumatano Septemba 18, 2019
Reviewed by Zero Degree
on
9/18/2019 09:05:00 AM
Rating: