Watu 50 wahofiwa kufa katika ajali ya treni DRC
Waziri wa masuala ya kibinaadamu, Steve Mbikayi ameithibitishia BBC kuwa watu 50 wanahofiwa kufariki katika ajali hiyo.
Mbikayi ameelezea ajali hiyo kuwa janga jingine na kufahamisha kuwa mutano unaendelea kuratibu usaidizi wa dharura.
Katika ujumbe kwenye Twitter, waziri Mbikayi alitoa pole kwa familia zilizoathirika na mkasa huo.

Duru kutoka shirika la kijamii ameiambia BBC kwamba treni hiyo ilikuwa ni ya mizigo iliyokuwa inasafriki kuelekea mji wa Kalemie.
Mkuu wa operesheni wa kampuni ya kitaifa ya reli nchini Congo, Hubert Tshiakama, ameilezea Reuters kwambamabehewa ya mbele abayo hayakuathirika na ajali hiyo yanaelekea mjini Kalemie.
"Kwa sasa hatuwezi kubaini chanzo cha ajali," amenukuliwa kusema.
Ajali za reli hutokea nchini humo kutokana na miundo mbinu ya kitambo na isiyosimamiza kisawasawa
Mkuu wa operesheni wa kampuni ya kitaifa ya reli nchini Congo, Hubert Tshiakama, ameilezea Reuters kwambamabehewa ya mbele abayo hayakuathirika na ajali hiyo yanaelekea mjini Kalemie.
"Kwa sasa hatuwezi kubaini chanzo cha ajali," amenukuliwa kusema.
Ajali za reli hutokea nchini humo kutokana na miundo mbinu ya kitambo na isiyosimamiza kisawasawa
Watu 50 wahofiwa kufa katika ajali ya treni DRC
Reviewed by Zero Degree
on
9/13/2019 06:50:00 AM
Rating: