Loading...

Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC

 

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Nicolaus Herman Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC).

Kabla ya uteuzi huo Dkt. Shombe alikuwa Kamihina wa Mipango, Wizara ya Fedha wa Mipango.

Hapo chini ni taarifa kamili ya uteuzi huo:

Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC Rais Samia afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC Reviewed by Zero Degree on 11/02/2021 08:19:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.