Loading...

AudioMpya: Nyingine tena kutoka kwa Msanii Godly, 'MJUKUU WA SHETANI'

Msaani wa Hip-hop Gospel, Godly M'bakilwa 'Joginda'

2 Wakorintho 11:13-15 "...watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. Wala si ajabu, Maana hata shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru...."

Kutoka hapo tukapata 'Mjukuu wa Shetani', wimbo mpya aliotuletea mtumishi wa Mungu, Godly M'bakilwa akiwaelezea wachungaji wanaojivika mavazi ya nuru kumbe ndani wamejaa giza. Wakiyumbisha roho za waumini dhaifu kwa mafundisho yao ya uongo badala ya kumhubiri YESU KRISTO, Bwana wa Utukufu.

 Usikilize na kudownload hapo chini:


AudioMpya: Nyingine tena kutoka kwa Msanii Godly, 'MJUKUU WA SHETANI' AudioMpya: Nyingine tena kutoka kwa Msanii Godly, 'MJUKUU WA SHETANI' Reviewed by Zero Degree on 12/21/2021 12:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.