Loading...

Makamu wa Rais aanza ziara mkoani Kigoma

Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kigoma 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili katika Uwanja wa Ndege wa mkoa wa Kigoma leo desemba 14, 2021 kwa ajili ya ziara ya kikazi katika mkoa huo.

Makamu wa Rais aanza ziara mkoani Kigoma Makamu wa Rais aanza ziara mkoani Kigoma Reviewed by Zero Degree on 12/14/2021 08:00:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.