Loading...

Simba SC yamsamehe Benard Morrison



Klabu ya Simba imetoa taarifa ya kumsamehe mchezaji wake Benard Morrison.

Hiyo ni baada ya kumsimamisha na kumpa siku saba za kuandika barua na kueleza kwanini asichukuliwe hatua zaidi za kinidhamu kufuatia tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamu, ambapo mchezaji huyo aliandika barua na kuomba radhi kwa CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez, kocha Pablo Franco na benchi la ufundi kwa ujumla huku akiahidi kutorudia tena makosa hayo. 
Simba SC yamsamehe Benard Morrison Simba SC yamsamehe Benard Morrison Reviewed by Zero Degree on 2/16/2022 12:10:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.