Loading...

Audio: Hatukwami - Godly NKVY (MPYA)


Godly anakuletea wimbo mwingine wenye ujazo wa kutosha. Hatukwami; #Ujumbe: Ukiwa na Mungu wa kweli huwezi kushindwa na chochote, mtangulize Mungu huta kwama katika Maisha yako yote, KUTOKA 14:14.


Sikiliza wimbo huu kupitia kiunganishi hiki cha youtube, pia umuunge mkono mtumishi wa Mungu kwa kusubscribe katika channel yake na kushare nyimbo zake.

Audio: Hatukwami - Godly NKVY (MPYA) Audio: Hatukwami - Godly NKVY (MPYA) Reviewed by Godly 21 on 9/25/2022 12:07:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.