Loading...

Audio: Jina la Yesu Kristo ni HERUFI KUBWA - Godly NKVY, msanii wa Gospel Hiphop



Msanii wa Gospel Hiphop na Mhubiri wa Injili isiyoghoshiwa, maarufu kama Godly NKVY amewasha moto tena, baada ya kuwa kimya kwa kitambo kidogo. Safari hii amekuja na nyundo yenye jina la 'Herufi Kubwa'.

Godly anasema kuwa, Jina la Jehova, muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, Jina la Yesu Kristo, Mwokozi wetu, daima ni HERUFI KUBWA, wala hakuna jina jingine chini ya mbingu tulilopewa wanadamu tupate kuokolewa kwa hilo, zaidi ya hili jina la YESU KRISTO, HERUFI KUBWA (Matendo ya Mitume 4:12), muamini kwa moyo wako wote, nawe utaokoka. 

Msikilize mwenyewe hapo chini, uburudike ukijengwa:


Nyingine kutoka kwa Godly NKVY, zinazofanya vizuri katika ukurasa wetu:


Audio: Jina la Yesu Kristo ni HERUFI KUBWA - Godly NKVY, msanii wa Gospel Hiphop Audio: Jina la Yesu Kristo ni HERUFI KUBWA - Godly NKVY,  msanii wa Gospel Hiphop Reviewed by Zero Degree on 6/16/2023 08:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.