Loading...

Azam kuchomoa mastaa wanne kutoka Simba na Yanga (+Video)

Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe

Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe, ameeleza kuwa msimu ujao wanatarajia kuwa na wachezaji wanne kutoka Simba na Yanga kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho anaamini kitashiriki michuano ya klabu bingwa ya Afrika.

Ibwe ameweka wazi kuwa tayari wametuma ofa kwa mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize na bado wanaendelea kutuma ofa kwa wachezaji wengine na wanaamini kama ofa hizo zitapokelewa basi msimu ujao kuna wachezaji wawili wa kigeni na wawili wa nyumbani kutoka vilabu hivyo, wataitumikia Azam FC.
Azam kuchomoa mastaa wanne kutoka Simba na Yanga (+Video) Azam kuchomoa mastaa wanne kutoka Simba na Yanga (+Video) Reviewed by Zero Degree on 4/18/2024 03:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.