Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yatua Bungeni
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 anawasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Tatu.
Wakati wa wasilisho hilo viongozi na wageni mbalimbali wa Wizara wamealikwa.
Tazama picha za tukio hilo:
Taarifa kamili itapatikana baadae, hapa hapa Zero Degree (0⁰).
Bajeti ya Wizara ya Nishati 2024/25 yatua Bungeni
Reviewed by Zero Degree
on
4/24/2024 10:50:00 AM
Rating:
