Loading...

Man City yatangulia fainali ya FA


Bernardo Silva alifunga bao pekee katika dakika ya 84 ya mchezo dhidi ya Chelsea na kuipa tiketi ya fainali ya kombe la FA Manchester City.
Juma lililopita kiungo huyo kutoka Ureno alikosa mkwaju muhimu wa penati na kuifanya City kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya na kocha wake Pep Guardiola alimkingia kifua dhidi ya ukosoaji mkubwa uliokuwa ukimuandama na leo Silva amelipa fadhila kwa kufunga bao muhimu kwenye mchezo huo.

Sasa Manchester City atakutana na mshindi kati ya Coventry na Manchester United kwenye fainali.
Man City yatangulia fainali ya FA Man City yatangulia fainali ya FA Reviewed by Zero Degree on 4/21/2024 09:38:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.