Dkt. Tulia ajiondoa katika kinyang’anyiro cha Uspika
Aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Tulia Ackson ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi hiyo leo Novemba 07, 2025.
Baada ya kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM wagombea wa nafasi hiyo waliosalia ni Mussa Azzan Zungu na Stephen Julius Masele, wakati ambao mchakato ukiwa bado unaendelea.
Dkt. Tulia ajiondoa katika kinyang’anyiro cha Uspika
Reviewed by Zero Degree
on
11/07/2025 05:57:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
11/07/2025 05:57:00 PM
Rating:
