Loading...

Majina ya walioteuliwa Viti Maalumu na Dkt. Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, amewateua wafuatao kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-

(i) Dkt. Dorothy Onesphoro Gwajima
(ii) Balozi Mahmoud Thabit Kombo
(iii) Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
(iv) Bw. Abdullah Ali Mwinyi
(v) Balozi Khamis Mussa Omar, na
(vi) Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho



Majina ya walioteuliwa Viti Maalumu na Dkt. Samia Suluhu Hassan Majina ya walioteuliwa Viti Maalumu na Dkt. Samia Suluhu Hassan Reviewed by Zero Degree on 11/10/2025 01:39:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.