Loading...

Maonesho ya wiki ya Nishati yaanza rasmi Bungeni Dodoma


Maonesho ya Wiki ya Nishati yameanza rasmi katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.


Katika picha ni Wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakiwa tayari kutoa huduma kwa Wabunge na Wananchi watakaohudhuria Maonesho husika.

Maonesho hayo yaliyoanza leo yatahitimishwa tarehe 19 Aprili 2024.

Tazama picha chini:











Maonesho ya wiki ya Nishati yaanza rasmi Bungeni Dodoma Maonesho ya wiki ya Nishati yaanza rasmi Bungeni Dodoma Reviewed by Zero Degree on 4/15/2024 12:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.