Rais Dkt. Samia ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika msikiti wa mfalme Mohammed VI, Kinondoni Dar
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, leo Aprili 10, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na waumini wengine mara baada ya ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, leo Aprili 10, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti, Abubakar Zuberi muda mfupi kabla ya kuanza kwa ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, leo Aprili 10, 2024.
Rais Dkt. Samia ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika msikiti wa mfalme Mohammed VI, Kinondoni Dar
Reviewed by Zero Degree
on
4/10/2024 03:00:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
4/10/2024 03:00:00 PM
Rating:


