Loading...

Selemani Mkati afariki dunia

Selamani Mkati (wa kwanza kulia waliosimama) akiwa na kikosi cha Yanga mwanzoni mwa miaka ya 1990.

BEKI wa zamani wa Yanga, Sigar na Pilsner zote za Dar es Salaam, Selemani Mkati (wa kwanza kulia waliosimama), amefariki dunia. Taarifa zaidi zitakujia.

Chanzo: Habari leo
Selemani Mkati afariki dunia Selemani Mkati afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 4/08/2024 02:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.