Loading...

Yanga, Simba zafika ukingoni Caf


Mamelodi Sundowns imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Yanga Sc kwenye robo fainali.

FT: Mamelodi 🇿🇦 0-0 🇹🇿 Yanga Sc (Agg. 0-0)
Penalti ( 3-2)
  • 🇿🇦 Sundowns: ✅❌✅✅
  • 🇹🇿 Yanga Sc: ❌✅❌✅❌
Mchezo ulilazimika kuamuliwa kwa matuta baada ya dakika 180, Dar es Salaam na Pretoria kumalizika kwa suluhu.


Katika mchezo mwingine uliochezwa jana, mabingwa watetezi, Al Ahly wametinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya Simba Sc kwenye robo fainali.

FT: Al Ahly 🇪🇬 2-0 🇹🇿 Simba SC (Agg. 3-0)
  • ⚽ El Solia 48’
  • ⚽ Kahraba (P) 90+8’
Ndoto za mnyama kuishia walau nusu fainali ya CAFCL msimu huu zimefutika.

Sasa timu zote za Tanzania zimetolewa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.
Yanga, Simba zafika ukingoni Caf Yanga, Simba zafika ukingoni Caf Reviewed by Zero Degree on 4/06/2024 10:05:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.