Zitto, Mama Mongera kwenye Kumbukumbu ya Chifu Ntare
Viongozi mabalimbali wakiwemo wadau wa siasa Nchini wameshiriki kwenye maadhimisho ya kumuenzi aliyekuwa Chifu wa kwanza Mwanamke Tanzania, Mwami Theresa Ntare ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Posta Jijini Dar es salaam.
Katika tukio hilo baadhi ya Viongozi akiwemo Zitto Kabwe, wamefunguka kuwa jambo hilo linalinda historia hususani kwa jamii ya Waha Mkoani Kigoma.
Zitto, Mama Mongera kwenye Kumbukumbu ya Chifu Ntare
Reviewed by Zero Degree
on
4/14/2024 11:34:00 AM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
4/14/2024 11:34:00 AM
Rating:
