Loading...

Mimi bado ni mchezaji wa Yanga - Lomalisa


“Mimi bado ni mchezaji wa Yanga, lakini mwisho wa msimu kila kitu kitajulikana kwasababu ndio mkataba unamalizika hivyo kama nitabaki au nitaondoka kila mmoja atafahamu,” Joyce Lomalisa.

“Napenda kubaki Yanga lakini hawajanifuata kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba mpya nimebakiza mwezi mmoja tu hakuna, na mazungumzo yoyote, hivyo kama kuna timu zinahitaji huduma yangu zinatakiwa kuwasiliana na meneja wangu yupo Angola,” amesema Joyce Lomalisa.

“Mchezaji unaenda kwenye timu ambayo una uhakika wa kupata maisha mazuri na kutumikia mkataba wako kwa usahihi kuanzia kucheza na kuipa timu matokeo.” alisema Joyce Lomalisa.
Mimi bado ni mchezaji wa Yanga - Lomalisa Mimi bado ni mchezaji wa Yanga - Lomalisa Reviewed by Zero Degree on 5/02/2024 06:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.