Loading...

Rangnick aitolea nje Bayern Munich

Ralf Rangnick, 65

Kocha Ralf Rangnick amekataa ombi la Bayern, la kuwa meneja mpya wa Klabu hiyo kwa sababu zake binafsi.

Kocha huyo, ambaye kwa sasa anainoa Austria amekataa ombi la kuwa meneja mpya wa klabu ya Bayern Munich ya Bundesliga. 

“Mimi ni kocha wa timu ya Austria kwa moyo wangu wote, sio kwamba naikataa Bayern, lakini ni uamuzi kwa timu yangu na malengo yetu ya pamoja,” amesema Rangnick.




Rangnick aitolea nje Bayern Munich Rangnick aitolea nje Bayern Munich Reviewed by Zero Degree on 5/02/2024 06:29:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.