Loading...

Yanga yatandika mtu bao 3 kwa Mkapa


Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wameichapa Timu ya Tabora United ya Tabora Maboa 3-0, mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar.

Mabao ya Yanga Katika Mchezo wa leo yamewekwa wavuni na Straika Joseph Guede 19', Maxi Mpia Nzengeli 49 na Stephen Aziz KI 90+.

Mchezo huo ulikuwa ni mchezo wa raundi ya 29 kwa Vilabu vyote huku kila Timu ikibakiza mchezo mmoja kumaliza msimu 2023/24.
Yanga yatandika mtu bao 3 kwa Mkapa Yanga yatandika mtu bao 3 kwa Mkapa Reviewed by Zero Degree on 5/25/2024 07:37:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.