Loading...

Dkt. Tulia, Jenerali Mkunda wakutana bungeni Dodoma

Spika wa Bunge  na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 20 Mei, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. 



Dkt. Tulia, Jenerali Mkunda wakutana bungeni Dodoma Dkt. Tulia, Jenerali Mkunda wakutana bungeni Dodoma Reviewed by Zero Degree on 5/20/2025 03:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.