Loading...

Ndimbo, Ahmed kuwa maofisa habari Simba Vs Berkane

Cliford Mario Ndimbo (kushoto) na Ahmed Hussein (kulia)

Ofisa Habari na Mawasiliano TFF, Cliford Mario Ndimbo na Ahmed Hussein wameteuliwa na CAF kuwa Maofisa Habari wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) Simba SC (Tanzania) vs RS Berkane (Morocco) utakaochezwa uwanja wa New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025.



Ndimbo, Ahmed kuwa maofisa habari Simba Vs Berkane Ndimbo, Ahmed kuwa maofisa habari Simba Vs Berkane Reviewed by Zero Degree on 5/20/2025 01:57:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.