Maabara dharura ya mafunzo kwa vitendo yazinduliwa rasmi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, Mei 22, 2025 amezindua rasmi Maabara dharura ya mafunzo kwa vitendo (Tanzania Emergency Care Simulation Centre Coordination Hub) kituo cha kimkakati kinachowezesha mafunzo ya hali halisi kwa wahudumu wa afya katika huduma ya dharura.
Hii ni moja ya shughuli katika Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Kituo cha Umahiri cha Sayansi ya Magonjwa ya Moyo Afrika Mashariki.
Maabara dharura ya mafunzo kwa vitendo yazinduliwa rasmi
Reviewed by Zero Degree
on
5/23/2025 12:04:00 PM
Rating:
