Nahodha wa Klabu ya Yanga akikabidhiwa kombe la Ligi Kuu
Yanga SC ndio mambingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2024/25, wakimaliza msimu wakiwa na jumla ya alama 82, wakifuatiwa na Simba SC yenye alama 78, na anafasi ya tatu ikishikiliwa na Azam FC wenye alama 63.
Mambingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2024/25
Reviewed by Zero Degree
on
6/25/2025 07:08:00 PM
Rating: 5