Beki wa kati Lameck Lawi amejiunga na Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Coastal Union.
Lawi, ambaye ni mchezaji mwenye nguvu, utulivu na uwezo wa kusoma mchezo vizuri, ajiunga na Azam kuimarisha safu yao ya ulinzi kuelekea msimu wa 2025/2026.
Klabu ya Azam FC imemsajili Lameck Lawi kutoka Coastal Union
Reviewed by Zero Degree
on
7/04/2025 08:43:00 AM
Rating: 5