Loading...

Matokeo ya kidato cha sita yametangazwa, kutazama bofya hapa


Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2025, ambao ulifanyika mwezi Mei 2025.

Matokeo hayo yametangazwa Jumatatu, Julai 7, 2025, huko Zanzibar na Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed.

KUTAZAMA MATOKEO, BOFYA KIUNGANISHI HIKI; https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/acsee/index.htm KISHA BOFYA JINA LA SHULE HUSIKA
Matokeo ya kidato cha sita yametangazwa, kutazama bofya hapa Matokeo ya kidato cha sita yametangazwa, kutazama bofya hapa Reviewed by Zero Degree on 7/07/2025 06:10:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.