Loading...

Serikali ya Uholanzi, TRA kuendeleza ushirikiano


Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Wiebe de Boer amesema Uholanzi itaendeleza ushirikiano na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Shirika la Kimataifa linaloshughulika na masuala ya kodi (IBFD) yenye makao makuu yake nchini Uholanzi.

Ameyasema hayo leo tarehe 28707/2025 alipokutana na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali yanayohusu kodi.







Serikali ya Uholanzi, TRA kuendeleza ushirikiano Serikali ya Uholanzi, TRA kuendeleza ushirikiano Reviewed by Zero Degree on 7/28/2025 03:19:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.