Luhaga Mpina apigwa 'stop' kugombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina.
Hatua hii imefikiwa kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, ambaye alidai kuwa mchakato wa kumteua Mpina haukufuata kanuni na taratibu za chama. Ofisi ya Msajili ilikutana na uongozi wa ACT Wazalendo pamoja na mtoa malalamiko na kubaini dosari hizo.
Luhaga Mpina apigwa 'stop' kugombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo
Reviewed by Zero Degree
on
8/26/2025 06:47:00 PM
Rating:
