Loading...

Ziara ya Dkt. Selemani Jafo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisikiliza maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Kiwanda cha Elsewedy Electric Industrial Cable

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akitembelea Kiwanda cha Elsewedy Electric Industrial Cable kinachozalisha nyaya za umeme na Transfoma na kupewa taarifa ya jinsi uzalishaji unavyoendelea ndani ya Kiwanda hicho wakati wa ziara yake yenye lengo la kuona maendeleo ya kiwanda hicho kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es salaam leo Agosti 26, 2025.























Ziara ya Dkt. Selemani Jafo Ziara ya Dkt. Selemani Jafo Reviewed by Zero Degree on 8/26/2025 11:52:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.