Loading...

Maandalizi ya Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima


Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amekagua maandalizi ya Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima linalofanyika leo Agosti 25, 2025 JNICC jijini Dar es Salaam.

Kongamano hilo linalenga kutathimini mafanikio ya Taasisi hiyo katika kuendeleza elimu jumuishi na endelevu kwa watu wazima nchini.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mhe. Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Cc: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.






Maandalizi ya Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Maandalizi ya Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Reviewed by Zero Degree on 8/25/2025 11:19:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.