Loading...

Mashabiki wa Taifa Stars waanza kujongea uwanjani

Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)

Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na wapenzi wa mpira wa miguu, tayari wameanza kusogea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, itakayochezwa saa 2:00 usiku katika uwanja huo, leo Agosti 22, 2025.









Mashabiki wa Taifa Stars waanza kujongea uwanjani Mashabiki wa Taifa Stars waanza kujongea uwanjani Reviewed by Zero Degree on 8/22/2025 05:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.