Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba SC, raia wa Mali, Sadio Kanoute, 28 amejiunga na Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ya Chamazi.
Sadio Kanoute atua Chamazi kwa mkataba wa miaka miwili
Reviewed by Zero Degree
on
8/11/2025 11:46:00 PM
Rating: 5