Ufunguzi wa Mafunzo ya Wandishi wa Habari (Picha)
Matukio katika picha: Ufunguzi wa Mafunzo ya Wandishi wa Habari na Watangazaji kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 leo tarehe 16 Agosti 2025 jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC.
Mafunzo hayo yamefunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Kali Salum akimwakilisha Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi.
Ufunguzi wa Mafunzo ya Wandishi wa Habari (Picha)
Reviewed by Zero Degree
on
8/16/2025 01:49:00 PM
Rating:
