Wallace Karia ameidhinishwa kuendelea kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF)
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), wamemuidhinisha Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa Shirikisho hilo kwa miaka mingine minne.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Kiomoni Kibamba ametangaza matokeo hayo moja kwa moja kutokea Tanga baada ya wajumbe wote wa mkutano huo kumuidhinisha Karia.
Wallace Karia ameidhinishwa kuendelea kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF)
Reviewed by Zero Degree
on
8/16/2025 11:43:00 AM
Rating: