Balozi wa Tanzania nchini Uganda atembelea banda la maonesho la TCU
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Generali Paul Kisesa Simuli ametembelea banda la maonesho la Kamisheni ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) katika Mkutano wa Kwanza wa Mawaziri wa Kikanda kuhusu ujumuishi Elimu ya Juu la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Kampala, Uganda.
Balozi wa Tanzania nchini Uganda atembelea banda la maonesho la TCU
Reviewed by Zero Degree
on
9/10/2025 03:17:00 PM
Rating:
